Ujio mpya wa msanii wa Bongo Fleva Manyo Lee. Baada ya kimya cha muda mrefu sasa amerudi rasmi Watanzania na Wanaafrika Mashariki anaomba mumpoke kijana wenu Amerudi kivingine na Radha tofauti aina ya "SINGERI" Anaomba ushirikiano wenu wa dhati kumpa sapoti kufikisha ujumbe huu.
Post a Comment