NIMEKUWEKEA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2016


 NIMEKUWEKEA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2016

Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI,

KUANGALIA  MATOKEO YA SHULE ZOTE BOFYA HAPA